JINSI YA KUTENGENEZA PARTITION KWENYE KOMPYUTA | ZamotoTech.


Tunapenda kuwajuza ni Jinsi Gani Unaweza Kuigawa Harddisk Yako Kwenye Sehemu Tofauti. Ni muhimu kuunda zaidi ya sehemu moja kwenye Windows  ili uweke mfumo wa uendeshaji na kuhifadhi aina tofauti za data.
Kawaida, unapaswa kugawanya Harddisk  katika sehemu kadhaa wakati wa kuingiza Window Kwenye  kompyuta yako.
Ili Kufanikisha Zoezi hili Fuata Hatua Zifutazo Hapo Chini.
HATUA
Bonyeza Window Button Au StartKisha right-click kwenye ComputerNenda Kwenye  Manage.
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini 
Ndani Ya  Computer Management Window Bonyeza Kwenye  StorageKisha  Disk Management.
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini 
Hii itakuonesha Drivers Au Partition Zote Zilizokuwepo Kwenye Kompyuta Yako
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini .
Kutoka Kwenye Partition Zinazo onekana Bonyeza Partion unayohitaji Kuigawa Mara Mbili Kisha Right-Click Nenda Kwenye   Shrink Volume.
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini 

Mfumo Utaendelea Kugawa Nafasi Kwenye Partition Husika
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini 
Baada ya kumaliza, muonekano mpya utakuja kabla ya kupungua utaonyeshwa nafasi ya kupunguzwa inayopatikana. Katika mstari unaofuata unaweza kuingia kiasi cha nafasi unayotaka kupungua na hii itakuwa ukubwa wa nafasi mpya.
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini  
Kumbuka
Ukubwa  Utakaouweka Unapaswa  kuwa ndani ya kikomo cha nafasi inayopatikana Kama inavyoonyeshwa katika mfano hapo juu.
Baada Ya Kuandika Ukubwa Unauhitaji Bonyeza Kwenye Shrink  Kisha Subiria  Ukamilishwaji Kuwezeshwa. Muda Utakaochukua Unategemea na Ukubwa Wa Volume Unayo shrink, Mara Tendo hilo litakapokamilika Window itaiyonesha Partition hiyo kama  unallocated space.
Hivyo, Right-click Kwenye unallocated space  Kisha  Bonyeza Kwenye New Simple Volume.
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini   
Baada Ya hapo itaonekana New Simple Volume Wizard Kisha Bonyeza Next
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini  
Bonyeza Tena Next
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini
Partition Mpya imetengenezwa, Chagua Jina la Partition hiyo Kwa  Herufi Kisha Bonyeza Next.
 
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini
Format Partition Hiyo Kwa Kutumia Format Ya  NTFS. Unaweza Ukaandika Jina la Drive Kama Utahitaji Kisha Bonyeza Next.
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini
Baada ya Kumaliza Hatua Zote Hizo Bonyeza Kwenye Neno Finish.
Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini

Post a Comment

0 Comments