Tunapenda kuwajuza ni Jinsi Gani Unaweza Kuficha "LAST SEEN" Muda Wa Mwisho Uliokuwepo Au Kutoka Online Kwenye WhatsApp Yako.
Kama Inavyojulikana ni Vigumu kubadilisha Mipangilio Ya WhatsApp Kwenye Baadhi Ya Simu Kama Windows Phone's Mfano Nokia Asha, Ingawa inawezekana Vipengele Hivi Kuja Kuongezwa Katika Mitapangilio Ya Baadae.
Ili Kufanikisha Zoezi hili Fuata Hatua Zifutazo Hapo Chini.
HATUA
1. Fungua WhatsApp Kwenye Simu
2. Kisha Bonyeza vidot vitatu Upande wa Kulia Juu Kisha Settings.
3. Bonyeza Kwenye Account
4. Kutoka Kwenye Account Bonyeza Kwenye => Privacy.
5. Kutoka Kwenye Privacy Bonyeza Kwenye =>Last Seen
6. Kutoka Kwenye Last Seen Utapata Muonekano Kama Huu Wenye Option Tatu.
Weka Chaguo Lako Kuilingana na Mahitaji
Everyone=>Kila mtu ataona Last Seen Yako
My Contacts=>Watu Ambao Namba Zao unazo
Nobody.=> Hakuna mtu Yoyote Atakaeona Last Seen Yako
7. Baada Ya Hapo Hiyo Menu itaondoka Automatically
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha Kuficha mtu yoyote asikuone ni muda gani mara ya wisho kuwa whatsApp Online.
1 Comments
Play'n Go Casino & Slots Game | DrmCD
ReplyDeletePlay'n 논산 출장마사지 Go Casino & 나주 출장안마 Slots Game is the newest 양산 출장마사지 casino slot 충청북도 출장샵 machine game 영주 출장마사지 by Play'n GO, made by Microgaming.