JINSI YA KU-FACTOR RESET AU KUI-RESTORE KOMPYUTA | ZamotoTech.


Tunapenda kuwajuza ni Jinsi Gani Unaweza  kufanya restoring Ya Komputer yako ,uwenda ulikuwa unajiuliza maswali mengi juu kutaka kufanya factory reset kwenye Kompyuta.Uwenda ulikuwa unatafuta volume button’s ufanye hivyo ikashindika. Hivyo Kuwa nasi mpaka mwisho tukupatie njia rahisi.

Njia hii Imefanya Kazi Kwa watu Karibu Wote Wanaofuatiliza Masomo Yetu.

MAHITAJI

=>Kompyuta Husika

FAIDA ZA KU FACTORY RESET KOMPYUTA
 Itafanya Kompyuta Yako Kuwa Nyepesi na Kufanya Kazi kwa UfanisiItatatua Baadhi Ya Matatizo Kama Kompyuta Ku-stuck/Crushe's Kwenye Kompuyuta.  Itaondoa Setting Ulizokuwa Unashindwa Kuziondoa Itapelekea Drvers Zingine Zifanye Kazi Kwenye Kompyuta Yako Kama USB VCOM driver.

HASARA ZAKE.
 Inaweza kufuta data zako kama hutokuwa makini. Inachukua muda mrefu kusubiri karibia dakika 20.

ili Kufanikisha Zoezi ili Fuata Hatua Zifuatazo

 01. Bonyeza window button + R kwa pamoja.

    Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini



02. Kitakuja Ki-box Cha Run

      Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini  

 

03. Andika ili neno kwenye hicho ki-bozrstrui.exe kisha bonyeza OK

      Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini  



04. Ita-load kama sekunde 40 kisha bonyeza Kwenye NEXT Kwa Kuendelea 
    
      Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini  




05. Chagua Restore Point Unayotaka kuitumia  Kisha  Next. Kumbuka kwamba unaweza kuruka hatua ya skanning na bonyeza tu Next, lakini daima ni vyema kuona programu ambazo zitaathirika kabla ya kuanza mchakato.

    Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini  

06. Mfumo Utakuuliza Kuhakikisha na Unachokifanya Kwa Kumalizia Kubonyeza Sehemu Ya Finish

    Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini  
 

07. Mfumo wa Ku-restore  utakujulisha  kuwa mara tu inapoanza, mchakato huu hauwezi kuingiliwa na Mambo mengine . Bonyeza "Yes" kuuruhusu mwenendo huu.

  Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini
 

08. Kompyuta Yako itaji-Restart na Kwendelea na Mfumo huu.  

       Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini 






ANGALIZO; Kutumia Njia hii Knaweza Kupoteza  Data/Taarifa Zako  Za Muhimu Kwenye Kompyuta Hivyo ni Muhimu Kufanya Backup Ya Local Disk C:/ Kabla Ya Kuendelea, Sisi Hatuto Husika/Kuwajibika  Kwa Upotezaji Huo.

Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kutatua baadhi ya Matatizo Ya Software Kwenye Kompyuta  Yako na Kurudisha Ufanisi wa Kazi Wa Kompyuta Kama ilivyo Awali.

Post a Comment

0 Comments