Tunapenda kutoa masomo mbalimbali yanayohusiana na teknolojia za simu na computer na leo tunapenda kujulisha wafuatiliaji wetu kuhusu jinsi unaweza kuflash Simu Zenye Processor Ya Za Mtk.
Kama Tecno,Alcate One Touch, Micromax,ZT,Huawei Y320-Y511,Y540,Y600.Infinix,Vodafone. n.k
MUHIMU
Kuwa makini kwenye kila hatua.Kutumia firmware ya simu husiku kabla ya kuflash.Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.MAHITAJI.
KompyutaOrginal USB cable MTK USB Driver. Download HapaFlash Tool: Smart Phone Flash Tool.
Download Hapa Firmware (scatter file) la simu husiku. Download HapaKama tulivyosema unahitajika umakini katika kila hatua.

HATUA
1.Fungua SP Flash Tool kisha bonyeza kwenye Scatter-loading ndani ya Flash Tool kisha chagua Scatter file ya simu husika ulilolidownload.
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini
1.Fungua SP Flash Tool kisha bonyeza kwenye Scatter-loading ndani ya Flash Tool kisha chagua Scatter file ya simu husika ulilolidownload.
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini
2: Install MTK USB Driver Kwenye Kompyuta Yako Au (Ruka Hatua hii Kama Ulisha install).
Chagua Firmware Upgrade or Download option Ndani Ya Flash Tool Kisha Bonyeza Kwenye Download button. Kisha Zima Simu Yako na Uchomeke Kwenye Kompyuta Kwa Kutumia USB Cable.
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini
3. Utaratibu wa Ku-flashing Utaanza Sasa Na Kusubiri Mpaka Ku-Flash Kumalize. Inaweza Kuchukua Dakika 5-10 Kwa Kakati Huo Usiondoe Kifaa Chako Kutoka Kwenye Kompyuta. Baada Ya kufanyika Utaona Wa Ujumbe Huu Download OK message.
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini
Mpaka hapo Utakuwa Umefanikiwa Ku-Flash Simu na nakwendelea Kuitumia Upya Kama hapo Awali.
FAHAMU:
KuFlash Simu itakusaidia kurudisha Operating Sysytem iliyokufa Kwenye Simu Yako.Kwenye Ku-Flash Simu Database Yote Ya Vitu Vyako Vitaondolewa Kama ( Vitabu, Application, Muziki, Video, Picha).
Hivyo Inshauriwa Kuchukua Tahadhari Ya Usalama Wa Vitu Vyako Kwa Kufanya Backup Kabla Ya kuanza Zoezi ili. Hii Itasaidia Kurejesha Database Baada Ya Kuflash Kifaa Chako.
0 Comments