Tunafahamu Kuwa Asilimia Kubwa ya Wasomaji Wa Tovuti Yetu Wanatumia Application Ya WhatsApp, Na Hii Ndio Sababu Kubwa Leo Tumependelea kukujuza kuhusu Maujanja Ya WhatsApp Ambayo Tunajua Kwa Namna Moja Ama Nyingine Yanaweza Kurahisha Maisha yako.
MAHITAHI
Bando la Internet Angalau 1GB Application Ya WhatssApZifuatazo Hapa Chini ni Application mbalimbali zinazotumika kwenye maujanja mablimbali ya whatsapp Kulingana na mahitaji.
Namba . 1
Application Ya Notisave
Notisave - status and notifications saver
Naoti Save ni app kwaajili ya kukusaidia kusoma meseji ambazo zimefutwa, app hii ni nzuri sana hasa kama unapenda kujua ni kitu gani mtu ameandika pale anapofuta meseji ambayo bado hukufanikiwa kuweza kuisoma. Jinsi ya kutumia app hii angalia video hapo juu.
WhatsDirect
Namba 2.
WhatsDirect - Direct chat without contact
Whats direct ni app ambayo itakusaidia kuweza kutuma meseji ya whatsapp kwa mtu bila hata kuwa na namba yake kwenye simu yako. App hii ni nzuri kama unataka kuwasiliana na mtu mara moja na utaki kusave namba yake kwenye simu yako.
Away
Namba 3.
Away ni app ambayo itakusaidia kuweza kujibu meseji zako za WhatsApp bila kuandika kwa mkono. App hii inaweza kuwa kukusaidia kutuma meseji pale utakapo kuwa hutaki kushika simu yako kujibu meseji watu kila mara. App hii ni nzuri kwa wafanya biashara ambao hawataki usumbufu wa kushika simu kujibu meseji za wateja kila mara.
Audio Status Maker
Namba 4.
Kama kwa namna yoyote unataka kuweka status ya muziki ambao hauna video kwenye sehemu ya status kwenye programu yako ya WhatsApp basi app hii ni nzuri sana kwako. App hii inakupa uwezo wa kuweka nyimbo za mp3 kwenye sehemu ya Status ya WhatsApp, wote tunajua kuwa huwezi kuweka audio kwenye status bali ni lazima kuweka video, lakini app hii inakusaidia kuweka audio kwenye sehemu hiyo.
Mpaka Hapo Utakuwa Umefanikisha Kujua Tuliyokuandalia Siku Ya Leo, Kama Una Maswali Au Maoni Kuhusu Makala Hii Unaweza Kuuliza Hapo Chini Kwenye Makala Hii… Tunatumaini Maujanja Haya Yatakusaidia kwa Namna Moja Au Nyingine. ili Kuwa Wakwanza Kupata Masomo Haya Kumbuka Kudownload Application Yetu Hapo Chini ni buree KABISAA.
ili Kuwa Wa Kwanza Kupata Masomo Yetu
Download App Yetu Playstore hapa Chini
0 Comments