JINSI YA KUTATUA TATIZO LA APPLICATION KUFUNGUKA TARATIBU.

Habari...
ZamotoTech inatoa elimu ni jinsi gani unaweza kufanya App kwenye Simu yako kufunguka kwa haraka
MUHIMU
Kuwa makini kwenye kila hatua.Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.
MAHITAJI.
Simu ya AndroidApplication inayosumbua kufunguka
 NJIA YA KWANZA
Kama tulivyosema unahitajika umakini katika kila hatua.
HATUA
Nenda kwenye  Menu ya simu yakoNenda kwenye SettingsKisha kwenye   AppsKisha kwenye  AllChagua Application inayosumbua kufunguka;Kisha bonyeza kwenye CLEAR CACHE Kisha bonyeza kwenye CLEAR DATA.  Kama inavyoonekano kwenye picha hapa chini 


Hata hivyo,njia hii inafanya kazi kwenye Application moja moja. ili  kufuta cache kwenye kila App unahitajika ufuate hatua zifuatazo.
HATUA 
Nenda kwenye  Menu ya simu yakoNenda kwenye SettingsKisha kwenye  Storage  Kisha bonyeza kwenye Cache Data or Saved Data;Screen itakuuliza kuhakikisha unataka kufanya zoezi illi utabonyeza OK ili kukubali.
 Kama njia zote hapo juu hazitokusaidia, kufanya HARD RESET kwenye simu yako.
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha Zoezi illi 
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.

Post a Comment

0 Comments